Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari za asubuhi wananchi!
Kesho Mei Mosi, sikukuu ya wafanyakazi duniani na Tanzania pia.
Wafanyakazi wanasubiri kauli ya Rais ili wapate kujua hatma yao. Ngoja niwaambie jambo.
Kiki itatafutwa kwenye kipengele cha madaraja mapya kwa watumishi zaidi ya elfu 90.
Kama mtamshangilia sana basi atatengua kikokotoo kipya basi.
Kwakweli wafanyakazi mwafwaa.