Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ilikwisha March 17, 2021Kwani miradi haijakwisha tu?
I hate jiwe. Jiwe ndio source ya haya yote.Msitarajie mapya. SGR haijafika hata morogoro kutokea Dar.
Yule alikuwa mtu wa field, sasa tumepata mtu wa ofisini(Secretary).I hate jiwe. Jiwe ndio source ya haya yote
Alikuwa mtu wa field?Yule alikuwa mtu wa field,sasa tumepata mtu wa ofisini.( Secretary).
Time will tell. Sasa tunaongozwa na walioko nje ya magogoni .wanaotaka miradi ya gas na bandari ya bagamoyo kuanzishwa.Alikuwa mtu wa field?
Serious?
Angekuwa mtu wa field angejua ugumu wa maisha wanaoupitia watumishi wake.
Six years life gumu kwa watumishi wa umma then unamwita field Marshal
Sasa ndugu mbona unabishana na kitu ambacho nimekisema Mimi?Kama huna taarifa tuulize sisi HRs tukuambie kuwa PROMO zishaachiwa na UTUMISHI na deadline ni 12/06/2021
Kila Mwajiri awe amepeleta UTUMISHI majina ya promoted staff.
KAMA HUNA SIFA TULIA.
Tunachosubiri kusikia ni NYONGEZA tu na sio PROMO
Mkuu hata mtoa mada hoja yake ni hi,kwamba hizo promotion ambazo watu walitakiwa wapate toka 2015 ndio itakuwa kigezo na agenda huku agenda muhimu ya nyongeza ya mishahara kwa wote labda kesho ikapewa kisogo.Kama huna taarifa tuulize sisi HRs tukuambie kuwa PROMO zishaachiwa na UTUMISHI na deadline ni 12/06/2021
Kila Mwajiri awe amepeleta UTUMISHI majina ya promoted staff.
KAMA HUNA SIFA TULIA.
Tunachosubiri kusikia ni NYONGEZA tu na sio PROMO
JK aliweza sasa na malalamiko yalikuwa ni kidogo, watu wanadai arrays za miaka nenda rudiMkuu hata mtoa mada hoja yake ni hi,kwamba hizo promotion ambazo watu walitakiwa wapate toka 2015 ndio itakuwa kigezo na agenda huku agenda muhimu ya nyongeza ya mishahara kwa wote labda kesho ikapewa kisogo.
Eti HRs watu kila mwaka wanaambiwa wapeleke majina na ngoma bila bila, teteteteteKama huna taarifa tuulize sisi HRs tukuambie kuwa PROMO zishaachiwa na UTUMISHI na deadline ni 12/06/2021
Kila Mwajiri awe amepeleta UTUMISHI majina ya promoted staff.
KAMA HUNA SIFA TULIA.
Tunachosubiri kusikia ni NYONGEZA tu na sio PROMO
Acheni kuwadanganya watumishi wa umma waambieni ukweli kuwa ngoma bado ni ngumu snHuelewi unachokisema, nimekuambia madaraja yameshaachiwa, Maelekezo yametolewa jana kwenye System wala hatusubiti tamko la kesho
Mzee Mkuchika alikuwa ana agiza kila wakati lakini ngoma bila bilahaya, sipo kubishana
Hahahahahah ili wapige 10% zaoTime will tell. Sasa tunaongozwa na walioko nje ya magogoni .wanaotaka miradi ya gas na bandari ya bagamoyo kuanzishwa.
Hata hao 90000 bado wachache kuna foleni kubwa sana.Hakuna jipya nchi nzima wanaweza kupandishwa elfu 9 babala ya elf 90.