Kesho mtakuwa viwanja vya wapi?

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Tuambiane jamani kesho alhamis utakuwa viwanja gani kupata moja baridi moja moto kuadhimisha
 
CHATTLE!! NJOO TUUNGANE! ZIKO NDEGE ZA BURE ZITATUPELEKA ASUBUHI KURUDI JIONI!!
 
Ili Iweje..? Kuadhimisha nini..!!
Nchi ngumu Sana hii, Sasa huyu Si Mtu mzima Kabisa...! Nguvu kazi Ya Taifa..
 
Nitakuwa nimelala huku nikimlilia Magufuli Chuma kama chuma apumzike kwa amani

Ameisha rudi kuwa UDONGO!! Hizo malumalu mnaweka juu ya kaburi na kujengea nyumba ,mnapoteza bure hela za tozo mnazokusanya toka kwa maskini wanao lala na njaa!!
 
Ameisha rudi kuwa UDONGO!! Hizo malumalu mnaweka juu ya kaburi na kujengea nyumba ,mnapoteza bure hela za tozo mnazokusanya toka kwa maskini wanao lala na njaa!!
Samehe saba mara sabini hii chuki yako kwake haitokufanya wewe uishi milele boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…