Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini wewe TISS uchwaraNitakuwa nimelala huku nikimlilia Magufuli Chuma kama chuma apumzike kwa amani
Nitakuwa nimelala huku nikimlilia Magufuli Chuma kama chuma apumzike kwa amani
Yaani nipo kwenye manjozi unaniita mchwara haki ya Mungu ungekuwa karibu yangu ningekufua kama ulivyokuwa ukifua gagulo ya dada yakoNini wewe TISS uchwara
Samehe saba mara sabini hii chuki yako kwake haitokufanya wewe uishi milele bossAmeisha rudi kuwa UDONGO!! Hizo malumalu mnaweka juu ya kaburi na kujengea nyumba ,mnapoteza bure hela za tozo mnazokusanya toka kwa maskini wanao lala na njaa!!
HII SIO CHUKI WEWE BOYA; hayo maneno yanatoka kwenye vitabu vitakatifu " ULITOKA KWA UDONGO UTARUDI KWA UDONGO"!Samehe saba mara sabini hii chuki yako kwake haitokufanya wewe uishi milele boss