Kesho Mtaniona Live na kunifahamu nitakaposhiriki Kwenye maandamano makubwa Mkoa wa Songwe Ya kumpongeza Rais Samia kwa kuteuliwa Kugombea Urais

Mimi siyo chawa bali ni mwana CCM kindakindaki na ninayeipenda CCM kwa dhati ya Moyo wangu. Kwangu ni CCM CCM CCM CCM Daima.
Sasa nimekuelewa.
Nilishindwa kuacha kushangaa kwamba inawezekanaje Mtanganyika anayelipenda taifa lake ASIWE NA AKILI KIASI HIKI?
Kumbe wewe huko sahihi,haulipendi taifa lako bali ccm.
 
Baada ya kuona kimya CCM hawatumi hata buku, umeamua uwaonyeshe sura yako huenda huruma ikawaingia wakulambishe asali mpiga debe.
Umetumia nguvu nyingi sana kupost na kushabikia ujinga inapaswa wawe na huruma. Umejidhalilisha sana nenda kawadai haki yako
 
Pumba
 
Luca acha kujipa umuhimu bana hatukujui wala πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…