Kesho Mzize akifunga na pale KMC Ahoua atafunga vile vile, hadi kieleweke kudadeki

Kesho Mzize akifunga na pale KMC Ahoua atafunga vile vile, hadi kieleweke kudadeki

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
473
Reaction score
1,682
Kama mmepanga Mzize afunge mabao 6 kesho pale Amani Stadium andiken mmeumia, akifunga tu na Ahoua Hulu anaweka, iwe isiwe Ahoua anabeba kiatu.
 
Ahoua anakosa magoli sana. Sitashangaa akamaliza ligi akiwa na magoli sawa na Mukwala.
 
Back
Top Bottom