Kesho naelekea Arusha kikazi, narudi DarCityBaby baada ya wiki 2 tuendelee kubanana hapahapa

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Utaweza mnyanyua uyo mtu mana mim nilitaka kushindwa mwisho nilifanikiwa
 
Aya umeamua kuludi kwenu ...nyie wajaluo uwa ni wazelendo sana.
 
Sasa sisi tukusaidieje kwa mfano mkuu au kuna watu wanakujua humu
Kama wewe unachat tu hapa JF na hujulikane na watu/members in real life...basi wewe ni unapoteza muda tu humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…