hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahaa..Psychological warfareMkuu hayo majina na mengine yoote nimeshayakataa...futa kauli au natangaza vita na wewe (Psychological Warfare).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaa..Psychological warfareMkuu hayo majina na mengine yoote nimeshayakataa...futa kauli au natangaza vita na wewe (Psychological Warfare).
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakuu,
Kuna kishughuli naenda kufanya kesho Arusha, nitakaa huko wiki 2 kwenye Hoteli ya mteja (kula bure, kulala bure, swimming pool bure, na mshahara wa wiki 2 juuuu). Taarifa rasmi anazo shemeji yenu msmimi30 ....atajumuika na mimi wiki ya mwisho then turudi wote.
Kama upo Arusha (men only) basi tuchekiane, ladies mtanisamehe maana msmimi30 anasimamia shoo zote, na niko selo yake ndogo ya mahaba kwenye gereza kuu (moyo wake). So ni kazi tuu hizo wiki 2, labda kazi iishe halafu asitokee (nitamtumia nauli, akiila shauri yake), so asipotokea, ndo nitafikiria kuchepuka, napo kwa maamuzi magumu sana.
Pia kazi yangu ya hapa JamiiForums (mimi ni Advocacy Specialist wa GENTAMYCINE ...yaani namjibia kama yeye akiwa hayupo Online), hii kazi itaendelea kama kawaida kwa spidi ya Wi-Fi, lengo ni isije nikarudi Dar nikakuta kibarua kimeota nyasi.
CC Mshana Jr kwa ajili ya kusimami maswala yote ya Ulinzi wa mitishamba.
Labda tumchangie nauliSasa sisi tukisaidieje kwa mfano mkuu au kuna watu wanakujua humu
Aseme basi kama anataka mchango wa nauli tumchangie sio bla bla nyingi zisizoelewekaLabda tumchangie nauli
Aya umeamua kuludi kwenu ...nyie wajaluo uwa ni wazelendo sana.Wakuu,
Kuna kishughuli naenda kufanya kesho Arusha, nitakaa huko wiki 2 kwenye Hoteli ya mteja (kula bure, kulala bure, swimming pool bure, na mshahara wa wiki 2 juuuu). Taarifa rasmi anazo shemeji yenu msmimi30 ....atajumuika na mimi wiki ya mwisho then turudi wote.
Kama upo Arusha (men only) basi tuchekiane, ladies mtanisamehe maana msmimi30 anasimamia shoo zote, na niko selo yake ndogo ya mahaba kwenye gereza kuu (moyo wake). So ni kazi tuu hizo wiki 2, labda kazi iishe halafu asitokee (nitamtumia nauli, akiila shauri yake), so asipotokea, ndo nitafikiria kuchepuka, napo kwa maamuzi magumu sana.
Pia kazi yangu ya hapa JamiiForums (mimi ni Advocacy Specialist wa GENTAMYCINE ...yaani namjibia kama yeye akiwa hayupo Online), hii kazi itaendelea kama kawaida kwa spidi ya Wi-Fi, lengo ni isije nikarudi Dar nikakuta kibarua kimeota nyasi.
CC Mshana Jr kwa ajili ya kusimami maswala yote ya Ulinzi wa mitishamba.
Kama wewe unachat tu hapa JF na hujulikane na watu/members in real life...basi wewe ni unapoteza muda tu humu.Sasa sisi tukusaidieje kwa mfano mkuu au kuna watu wanakujua humu