Kesho naelekea Arusha kikazi, narudi DarCityBaby baada ya wiki 2 tuendelee kubanana hapahapa

Kesho naelekea Arusha kikazi, narudi DarCityBaby baada ya wiki 2 tuendelee kubanana hapahapa

Kheri Hansen

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
1,025
Reaction score
1,238
Wakuu,

Kuna kishughuli naenda kufanya kesho Arusha, nitakaa huko wiki 2 kwenye Hoteli ya mteja (kula bure, kulala bure, swimming pool bure, na mshahara wa wiki 2 juuuu). Taarifa rasmi anazo shemeji yenu msmimi30 ....atajumuika na mimi wiki ya mwisho then turudi wote.

Kama upo Arusha (men only) basi tuchekiane, ladies mtanisamehe maana msmimi30 anasimamia shoo zote, na niko selo yake ndogo ya mahaba kwenye gereza kuu (moyo wake). So ni kazi tuu hizo wiki 2, labda kazi iishe halafu asitokee (nitamtumia nauli, akiila shauri yake), so asipotokea, ndo nitafikiria kuchepuka, napo kwa maamuzi magumu sana.

Pia kazi yangu ya hapa JamiiForums (mimi ni Advocacy Specialist wa GENTAMYCINE ...yaani namjibia kama yeye akiwa hayupo Online), hii kazi itaendelea kama kawaida kwa spidi ya Wi-Fi, lengo ni isije nikarudi Dar nikakuta kibarua kimeota nyasi.

CC Mshana Jr kwa ajili ya kusimami maswala yote ya Ulinzi wa mitishamba.
 
Back
Top Bottom