donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
We mjinga, ni nani aliyekwambia kutangaza hayo mambo hapa. Unakijua unachokwenda kukipata na maana yake?Daaah, been waiting for this day ever. Kesho kwa mara ya kwanza, mjengoni ikulu tena ana kwa ana na mh. Mr president nikitunukiwa kamisheni, kweli kila jambo na wakati wake. I wish ningewaalika wanaJF wote kesho ikulu kwaajili ya special meal na presidaa ila only limited namba of pipo is allowed. [HASHTAG]#NoEasyTaskInTheBattleField[/HASHTAG].
HahahahaWe mjinga, ni nani aliyekwambia kutangaza hayo mambo hapa. Unakijua unachokwenda kukipata na maana yake?
Kwa jinsi ulivyokamia na ulichokiandika na Lugha uliyotumia hauendi kupata cha kuwatumikia watanzania badala yake unakwenda kupata sifa za kijinga na huenda ukatumia cheo chako kutenda yasiyoruhusiwa.
Subiri tu upate hiyo special meal na presidaa halafu baada ya miezi miwili rudi hapa kutusimulia huo uchuro.
Kwa kazi inayokupeleka ikulu na kile unachotutambia utakuja nitxt pm ukiri kama kweli itakuacha salama. Tunapopigwa DRC nadhani tunakuwa na makamanda wa matangazo kama wewe.
Achana na sifa za kijinga, we maliza uanze huduma!
Haaa, naanzaje kwa mfano kuacha kupost meals?Sijui nani atatupostia tena misosi apa ukianza kaz
Pa1Hongera sana kamanda. Wiiiiiii waaaaaaaaa.
Shukran chiefHongera sana mkuu
Hahaha, usijali, next time mkuuhongera sana i wish nikusindikize mpaka nje ya geti
Naanzaje chief mi nasubiri dongo langumfikishie ujumbe mwembie huku mtaani vyuuuuma..!!so alegeze kamba kimtindo kama hataki achana nae usimbembeleze saaaana!!
Poa mkuuUsisahau kumwambia Rais kuwa Tmuller anamsalimia
Mkuu hii ni siasa sasaMwambie kwa vile bunge limeshindwa kumshauri vyanzo vya mapato na kukazania hela zetu za nssf, basi bajeti apange yeye mwanzo mwisho itakuwa afadhali. Wao watunge senti tano na pedi za watoto wetu.