donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Daaah, been waiting for this day ever. Kesho kwa mara ya kwanza, mjengoni ikulu tena ana kwa ana na mh. Mr president nikitunukiwa kamisheni, kweli kila jambo na wakati wake. I wish ningewaalika wanaJF wote kesho ikulu kwaajili ya special meal na presidaa ila only limited namba of pipo is allowed. [HASHTAG]#NoEasyTaskInTheBattleField[/HASHTAG].