Kesho naenda Kampala

Kesho naenda Kampala

Profesa ntare nkobe

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Posts
6,955
Reaction score
8,120
Kesho nitakuwa Kampala kwa saa 4 nikibalizi na kuangalia fursa nitatoka Bukoba saa 12:00 Asubuhi nitafika Kampala saa 4 Asubuhi nitakuwa nitaondoka saa 8 mchana kurudi Bukoba natumai saa 12 jioni nitakuwa Bukoba.Kama kuna ambaye yupo Kampala nitapita kumpa hi..

Bukoba
 
Back
Top Bottom