Tajiri wa matajiri
Senior Member
- Apr 17, 2024
- 166
- 649
Finished man.Kesho naenda kumpokea mke wangu anayetokea Huko Russia na tulikutana nae kipindi hiko huyu mchumba wangu maria kuponovic akiwa kwenye internship pale jalalani...
Kesho naenda kumpokea mke wangu anayetokea Huko Russia na tulikutana nae kipindi hiko huyu mchumba wangu maria kuponovic akiwa kwenye internship pale jalalani
Mchumba amekuja hapa bongo kwa ajili yangu tu na huyu mchumba wangu ni mtoto wa kishua kabisa na Ameniambia baba yake ni mmoja wa shareholder wa kampuni ya mafuta ya gazprom Huko Russia kwa hiyo Kesho nitakuepo pale JKIA nikimsubiri mpenzi wangu
Na nimempangia Kesho nitampiga miti balaa kabisa ili anipe mtaji wangu wa kulima ufuta na nitamshawiahi nikivuna tu ufuta niweze kuexport mafuta ya ufuta mpaka Russia nampenda mpenzi wangu.
View attachment 3022417View attachment 3022418
Thread ifungwe tukalale.....kmmk
yani hata chakusema sinaThread ifungwe tukalale.....
Muamsheni huyu atajikojolea.Kesho naenda kumpokea mke wangu anayetokea Huko Russia na tulikutana nae kipindi hiko huyu mchumba wangu maria kuponovic akiwa kwenye internship pale jalalani