Kesho naenda kukutana na mpenzi wangu tuliyekutana mtandaoni

Tajiri wa matajiri

Senior Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
166
Reaction score
649
Kesho naenda kumpokea mke wangu anayetokea Huko Russia na tulikutana nae kipindi hiko huyu mchumba wangu maria kuponovic akiwa kwenye internship pale jalalani

Mchumba amekuja hapa bongo kwa ajili yangu tu na huyu mchumba wangu ni mtoto wa kishua kabisa na Ameniambia baba yake ni mmoja wa shareholder wa kampuni ya mafuta ya gazprom Huko Russia kwa hiyo Kesho nitakuepo pale JKIA nikimsubiri mpenzi wangu

Na nimempangia Kesho nitampiga miti balaa kabisa ili anipe mtaji wangu wa kulima ufuta na nitamshawiahi nikivuna tu ufuta niweze kuexport mafuta ya ufuta mpaka Russia nampenda mpenzi wangu.

elegant-beautiful-winter-woman-portrait-600nw-1549057718.jpg
0*534wR_lUzLemQB-b.jpeg
 
Ex kanialika harusi yake mimi na mwana tumetinga harusini dada wa biharusi kuniona amekuja na kuniuliza.

Hivi una moyo gani wewe kwanini hujasusa kuja?. Nikamwambia Biriani sio ex wangu acha nimle tu.
 
Amka utakojoa
Kesho naenda kumpokea mke wangu anayetokea Huko Russia na tulikutana nae kipindi hiko huyu mchumba wangu maria kuponovic akiwa kwenye internship pale jalalani

Mchumba amekuja hapa bongo kwa ajili yangu tu na huyu mchumba wangu ni mtoto wa kishua kabisa na Ameniambia baba yake ni mmoja wa shareholder wa kampuni ya mafuta ya gazprom Huko Russia kwa hiyo Kesho nitakuepo pale JKIA nikimsubiri mpenzi wangu

Na nimempangia Kesho nitampiga miti balaa kabisa ili anipe mtaji wangu wa kulima ufuta na nitamshawiahi nikivuna tu ufuta niweze kuexport mafuta ya ufuta mpaka Russia nampenda mpenzi wangu.

View attachment 3022417View attachment 3022418
 
Muamsheni huyu atajikojolea.
 
Back
Top Bottom