Oyah! Kacheki na fursa za kibiashara kama zipo.wakuu hii ni tour yangu kwenda kujifunza tamaduni za wenzetu huko somali land
Utachelewa kufika nenda na baiskeli, uchukue mihogo na mananasi ya kwenu kiwangwaWakuu kesho nasafiri kwenda somalia kwa pikipiki boxer, wakuu naombeni baraka zenu na maombi
Ni kujipanga tu wazungu wanazunguka dunia kwa baiskeliBangi na jua kali ni hatari saana.