Kesho naenda Somalia kwa pikipiki

Kesho naenda Somalia kwa pikipiki

wakuu hii ni tour yangu kwenda kujifunza tamaduni za wenzetu huko somali land
Oyah! Kacheki na fursa za kibiashara kama zipo.

Ninampango wakuja kufungua Butcher za nguruwe huko.

Nasikia kitimoto/ mbuzi katoliki analika sana pande hizo.
 
Wakuu kesho nasafiri kwenda somalia kwa pikipiki boxer, wakuu naombeni baraka zenu na maombi
Utachelewa kufika nenda na baiskeli, uchukue mihogo na mananasi ya kwenu kiwangwa
 
[emoji23][emoji28] [emoji28] [emoji28] na Mungu akutunze
 
Hii thread ilipaswa iwekwe kule kwenye jukwaa la vichekesho and jokes!....... Mods njooni huku please!
 
Back
Top Bottom