Kesho nafungua kesi dhidi ya Tigo Tanzania

Nitakuunga mkono, hawa si wanajifanya kupandisha mabega, tigo siku zote ni wapuuzi, kumbuka sakata la wao na mwana fa na ay, mwisho wa siku walilipa faini ya mabilioni lakini bado tu hawakukubal na walikua wakaidi, hio tu inakuonyesha jinsi gani walivyo
 
Vipi kama wengine hawataki kufungua kesi.? Nitasubiria wao? Aliyeumia ndiye anafungua
 
Natumia line ya tigo tangu mwaka 2008 sijawahi kuona faida yake. Huu ndiyo wakati muhimu wa kuitupa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…