Kesho naondoka, siwezi endelea kukaa hapa. Siwezi acha anielewe vibaya ila nimeshindwa mimi...

Kesho naondoka, siwezi endelea kukaa hapa. Siwezi acha anielewe vibaya ila nimeshindwa mimi...

Hivi kwel tz tunajisifu tuna vijana kama nchi nyingne?iv kwel umekuja kwangu nakusitir ila hapo hapo unaanza kuning'ong'a..huu si utaratibu...kama kilichokupeleka ushakimaliza rudi kwenu
 
Jamaa yangu zamani alikuwa vizuri tu kichwani. Mnakaa mnaongea mambo ya akili. Nmekuja mkoani kaniomba nisifikie lodge nifikie kwake. Nikasema huyu mwana toka kitambo ngoja nifikie tu kwake.

Maana ananisaidia pia huko hotel nisilale na vicheche. Tumekula tumemaliza. Mlo wenyewe tunaanza kula saa nne. Kweli? Tumemaliza nadhani tutapata wasaa wa kuongea mambo ya maana jamaa ndo anawasha TV kuangalia Tamthiliya ya Azam. Yaani aibu nmeona mi.mj.


Jamaa amekuwa fala,bwege na kanjanja sana. Anaangalia tamthiya za Azam. A michezo ya kinjing.
Anaangalia Bondita au Sinema zetu??
 
Hiki cheo cha JF-Expert Member kinafanya mtu ajione mwaaaamba, Sasa siku ataanzisha Uzi Wa Kiboya mpaka nyote mliokuwa kwenye cheo hicho mnajiona Maboya...!
We umefika kwa Mtu unataka Umpangie TV Awashe saa Ngapi? Dinner atenge Saa ngapi?
Kweli..?
Ila kula chakula saa nne usiku ni very unhealthy mkuu, halafu unaweza kukuta wali maharage au ugali, very heavy food na ikifika saa tano au saa nne na nusu mnaenda kulala huku tumbo limejaa full.
 
Back
Top Bottom