Eeeh ndiyo, nitakuwa kati ya wale Watanzania asilimia moja (1%) wanaotumia usafiri wa anga. Yaani ukikuta Watanzania mia ni mmoja tu aliyewahi kutumia huu usafiri wa anga.
Eeeh ndiyo, nitakuwa kati ya wale watanzania asilimia moja (1%) wanaotumia usafiri wa anga. Yaani ukikuta watanzania mia ni mmoja tu aliyewahi kutumia huu usafiri wa anga