Kesho napanda ndege

Kesho napanda ndege

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
4,318
Reaction score
4,105
Eeeh ndiyo, nitakuwa kati ya wale Watanzania asilimia moja (1%) wanaotumia usafiri wa anga. Yaani ukikuta Watanzania mia ni mmoja tu aliyewahi kutumia huu usafiri wa anga.
 
Hongera [emoji120][emoji120] pia nikutakie safari njema, Hakikisha unapata vya kutuhadithia huku kijiweni kwetu pindi utakaporudi...[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safari njema..... Tuombee na sisi wenzako tulobaki
 
Back
Top Bottom