Kesho ndio mtajua kama Dejan alirogwa au vipi

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Watu wengi wamemponda mshambuliaji wa Simba Dejan wakidai sio lolote, hawajui hata Pape Sakho walisema hivyo hivyo kuwa hana uwezo wa kucheza Simba, walisema Peter Banda hana uwezo, walisema Kanoute sio mchezaji.

waliwahi kumponda Luis Miqcuisone, walipochanganya habari zao zikavuma sana, sasa huyu Dejan ambaye mm kwangu namuona striker haswa subirini kesho ndio mtajua kuwa ni striker wa aina gani, namshauri kocha aendelee kumpanga ili azoee mazingira ya soka letu.

Dejan atabadilisha upepo wa watu gemu ya kesho, mchezaji mpira anajulikana tu, wanaosema kaja na Royal tour cjui nn watanyamaza tu.

Viongozi wangu wa Simba tusikatishwe tamaa na wajinga wajinga, yaliyofanyika kwenye gemu na yanga tunayajua, sio ya kimpira wala nn, hao yanga kama wanajua mpira tupo humj jf,.

tutawaona tu
 
Uyo dejan wako utakuwa unamuona anashaini kwenye timu Kama iyo unayocheza nayo kesho maana ndo saizi yake, lakini timu zinazojielewa atakuwa Kama mtumishi hewa🤣🤣
 
Upuuzi mtupu!

Kama kweli wewe ni mwanasimba,basi kumbe ni kweli sisi ni mbu mbu mbu

Siwezi kuamini ujinga kama huu kushauri viongozi kuvumilia upumbavu.

Yaani umwache manzoki mbadala awe huyu utopolo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…