Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,643
- 1,172
Lawama apewe Bashite na Msomali wa TFFTimu yetu ya Taifa (Taifa Stars)Kesho ipate ushindi wowote ule dhidi ya Senegal,hata suluhu na kichwa cha habari hapo juu kinakwenda kutimia.
Hapa nilipo niko na Waburundi,Wazimbambwe,Waganda,Wakenya,WaSouthAfrica wenyewe bila kusahau Nigerians....Jamaa hawaongelei negative kuhusu timu zao za Taifa kabisa na unafiki/hypocrite kwao ni Ugonjwa.
Sijamwamulia mtu.....Ndio maana nikaandika Baadhi.Tatizo ni Siasa na Mifumo ya uongozi ndugu yangu...
Siasa zikiwa fyongo usitarajie UZALENDO.
Alafu usituamulie.
Mlipogeuza timu ya Taifa kuwa timu ya Chama mlitegemea nini? Ni lipi ambalo CCM imeisaidia Taifa stars hadi muigeuze kuwa timu ya Chama?Sijamwamulia mtu.....Ndio maana nikaandika Baadhi.
Amani iendelee
Ujumbe umewafikia...Mlipogeuza timu ya Taifa kuwa timu ya Chama mlitegemea nini? Ni lipi ambalo CCM imeisaidia Taifa stars hadi muigeuze kuwa timu ya Chama?
Wanapoinasibisha stars na polepole ndipo shida inapo anzia.Timu yetu ya Taifa (Taifa Stars)Kesho ipate ushindi wowote ule dhidi ya Senegal,hata suluhu na kichwa cha habari hapo juu kinakwenda kutimia.
Hapa nilipo niko na Waburundi,Wazimbambwe,Waganda,Wakenya,WaSouthAfrica wenyewe bila kusahau Nigerians....Jamaa hawaongelei negative kuhusu timu zao za Taifa kabisa na unafiki/hypocrite kwao ni Ugonjwa.
Kwa hiyo huko kwingine kote kwenye siasa wao wako poa kabisa,jinga kweli wewe.unajua hata Kama Somalia wangekuwa misri wote wangeungana kushangilia nchi yao licha ya matatizo kibao yanayowakumba!!yaani kilichomo kwenye vichwa vya watanzania ni Mungu tu ndio anajuaTatizo ni Siasa na Mifumo ya uongozi ndugu yangu...
Siasa zikiwa fyongo usitarajie UZALENDO.
Alafu usituamulie.
Ile ilikua ni game ya Kuqualify....Kesho tunachapwa tu.
Enzi za akina Nsajigwa, SMG, Mapunda chini ya Maximo tulilambwa 5 kwa bila..
Hii historia tunaisubiri tena kesho
Kila laheri Star's! Nyie hater's kumbukeni kuweka akiba ya maneno.
Kesho ni tofauti hii historia haitajirudia.Kesho tunachapwa tu.
Enzi za akina Nsajigwa, SMG, Mapunda chini ya Maximo tulilambwa 5 kwa bila..
Hii historia tunaisubiri tena kesho
Ni kweli! Ila tumejiandaa vizuri hivyo hamna haja ya kuwa na wasiwasi.Uzalendo maana yake sio kujipa matumaini hewa!