Kesho ndio tunaenda kuufahamu unafiki wa baadhi ya watanzania

hakuna kitu inaniuma kama sadio mane kutokucheza leo coz naona idadi ya magoli itapunvua
 
Watanzania wenye asili ya Senegal gonga like hapaaa, timu Senegal tupo pamojaa piga 7 bila hao bashite stars
 
Na kweli,kama walichagua "mhutu" kupanga Ikulu?????!!!!!! Wanaweza fanya lolote.
 
Washauri wale wa magogoni,wakalia kiti mjengoni na ma-rc na dc's ambao kimsingi ndiyo waasisi wa "TIMU ROHO MBAYA"
Wakibadilika mbona watanzania ni watu poatu wenye kusamehe na kusahau kirahisi kama kumeza maji!
 
Senegal funga hao wahuni wa ccm.
Hakuna unafiki, mie naaamini kabisa mpaka halftime tutakuwa tushapigwa 2goals na second half 3goals to make a total of 5, to mean awamu ya tano [emoji23][emoji23][emoji23] nikupigwa tu!!!
kwa mimi big No tupigwe tu mpaka na majirani zote heshima irudi.
mimi nasema wazi sitaishabikia taifa staccmrs hata kidogo hata ishinde 10-0
Kesho nipo Senegal
Stars ikishinda au hata kutoka sare na baada ya mechi zake zote kwenye kundi kumalizika na kufanikiwa kuvuka hii hatua (hata kupitia best loser) nyinyi ni baadhi ya wadau mtakaojionea aibu mioyoni mwenu maana mmeruhusu hisia hasi dhidi ya Taifa lenu ziwatawale badilikeni bhana inacheza timu ya taifa ya Tz (nchi tuipendayo 🇹🇿) sio chama cha siasa.
 
kwa hyo tufungwe ili tuumie wote hii nayo ni nzuri
 

Aibu ya nini? Mmeshindwa hata kuonyesha hiyo michezo tunaionea kupitia DSTV ndio mnajifanya tuwe wazalendo? Kitendo cha hao watia najisi wa ccm kukaa kimbelembele kwenye timu hakitufurahishi, hivyo namna pekee ni hiyo timu kufungwa mpaka ichakae. Narudia tena, Senegal funga hao wahuni wa ccm.
 
Mm jamani sijui ndio sio mzalendo yaan taifa stars matokeo yoyote anayopata huwa najionea sawa tu
 
Staz leo ikivaa hiyo mijezi ya njano ya CCM na Chura sitaishangilia hata ikishinda.
 

Litimu mmeligeuza la chama naombea lifungwe pumbavu zake!

Na litapigwa nyingi sana!

Uzalendo mavi yenu,uzalendo gani mmegeuza kitu cha nchi ni kitu binafsi cha CCM!!!

Mjifunze!
 
Litimu mmeligeuza la chama naombea lifungwe pumbavu zake!

Na litapigwa nyingi sana!

Uzalendo mavi yenu,uzalendo gani mmegeuza kitu cha nchi ni kitu binafsi cha CCM!!!

Mjifunze!
Mtu mwenyewe mie nimepinda kama dawa ya Mbu ukininyoosha navunjika...Iam a migrant bro niko zangu dizonga tokea enzi za mkapa,ukiniita Mavi poa tu ukiniita CCM shega tu...kwa kifupi somo la uvumilivu mimi niko na A+...Labda uwe unawaatack watu/walengwa wengine indirect.....MSUNOO WA MAYOO
 
Tatizo ni Siasa na Mifumo ya uongozi ndugu yangu...

Siasa zikiwa fyongo usitarajie UZALENDO.

Alafu usituamulie.
Tunakoelekea...tutakuwa kama Zaire ya wakongo. Wazaire hawa walifanya kila jambo ni Muziki...kila kitu kiwe cha kitaifa cha binafsi ni mziki tu...wakasahau kujitambuA. Sasa hapa TZ naona kunabaadhi ya watu nataka kila jambo liwe la kisiasa tu...!!! Huu siyo mwelekeo mzuri. Tutambue mambo muhimu ya kitaifa...acheni siasa.
 
Ni kweli mkuu hatuwezi kufika ila kumbuka ni Magufuli ametufikisha hapa yeye ndiye muasisi wa siasa za chuki na hii ni mbaya sana bora hata siasa ya maji taka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…