Litimu mmeligeuza la chama naombea lifungwe pumbavu zake!
Na litapigwa nyingi sana!
Uzalendo mavi yenu,uzalendo gani mmegeuza kitu cha nchi ni kitu binafsi cha CCM!!!
Mjifunze!
Tayari kaka.....vijana hopeless kabisa yani u can see them through their eyes....Hata nyimbo ya Taifa kuimba yalikua hayajui hapo ndipo nilipoanza kutilia mashaka Manula anaimba Mungu bariki Africa huku Mwantika sijui Fei Toto anaimba Mungu bariki Tanzania the sametime...Very stupidTayari
Hakika timu ya taifa ya awamu ya 5 wanapaswa kutuomba msamaha mkubwa sanaTayari kaka.....vijana hopeless kabisa yani u can see them through their eyes....Hata nyimbo ya Taifa kuimba yalikua hayajui hapo ndipo nilipoanza kutilia mashaka Manula anaimba Mungu bariki Africa huku Mwantika sijui Fei Toto anaimba Mungu bariki Tanzania the sametime...Very stupid
Mimi siyo mnafiki.....kwa kiwango tulichoonyesha jana Taifa Stars bado sana....Burundi kafungwa ila shughuli yao tuliiona siyo ya kitoto hata Kenya pia unaona kabisa wanajaribu..Ila sisi Tanzania hapana....Ningekua na uwezo ningefuta hata huu Uzi...Hakuna Timu pale.Bora nivae hata jezi ya BafanaBafana
Ha ha ha ni noma sanaAmkeniii amkeniii bwanaaa CCM stars wamefungwa tena bwanaa uuuuuu hahaha