Kesho ndio tutajua kama Adebayor anastahili kuchezea Simba ama mzinguaji tu

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Kesho Stars anacheza na Niger pale Lupaso, macho na masikio yetu yako kwa kiungo mshambuliaji wa Nigeria victor Adebayor, wengi tunataka kumuona kama bado ana uwezo kweli ama imebakia history tu.
 
Ninachokiona Mimi, jamaa AMEISHA sana.

Atacheza kwa kukamia Ili ajiuze,
Nilitamani sana akutame na kibwana au Baka soko lake na Demand yake kwa Simba ishuke.

Uongozi unahaha Jana na leo kumalizana NAYE.
 
Kesho Stars anacheza na Niger pale Lupaso, macho na masikio yetu yako kwa kiungo mshambuliaji wa Nigeria victor Adebayor, wengi tunataka kumuona kama bado ana uwezo kweli ama imebakia history tu.
Niger ama Nigeria?umetaja nchi mbili tofauti mkuu.
 
Adebayor, Manzoki wote wakuachana nao
Adebayor bado ana mkataba mrefu na Berkane.

Licha ya ya Viongozi wa Simba SC kuzungumza naye!


Kama sio free agent Simba SC hawana jeuri ya kununua mchezaji Milion 209.
 
Louis, adebayor, na manzoki
Hawa wala simba wasihangaike nao, waangalie wengine zaidi bhana.

Ila mie niliumia bwalya kutoka. Aaaah.
 
Hata huyo Luis naye sina uhakika na kiwango chake isijekuwa limebaki jina tu
Luis Kwa viwango vyetu akujifua atatufaa Kwa Muda wakati suluhisho la kudumu linatafutwa. Tatizo ni kiwango cha mshahara alichoset akiwa Ahly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…