Yellow donaty
Senior Member
- Jan 16, 2023
- 113
- 271
Kuna muda unakaa unawaza maisha jinsi utakavyojitoa kwenye umasikini lakini njia imefungwa.
Mawazo nayo yanazidi kupamba moto kile ulichokuwa unakutamani kiwe hakiwi kama utakavyo.
Unaamua kutumia njia nyingine kufikiri ni njia sahihi unatambua ni sahihi kwa watu wengine kufanikiwa kwa kutumia njia hiyo ila sio wewe. 😔
Unapambana watu wanakaa pembeni kuangalia utawezaje lakini mambo yanakuwa magumu zaidi. 😒
Kuna muda mtu unawaza, unasema ukiangalia maisha unajuta kuzaliwa. Watu wanakuja na nia ya kukusaidia ila ghafla wanapotea 😭 bila taarifa.
Kesho ni fumbo kubwa ambayo jana yake ina maumivu makubwa sana.