kesho ni kesho,asiye na mwana.........

kesho ni kesho,asiye na mwana.........

Status
Not open for further replies.
Kweli Bishanga wewe ni adict, kinara na nguli wa MMU.
Sasa hii sredi
yako inahusiana vipi na MMU?
mmu=mapenzi,mahusiano,urafiki....hakuna kitu inakera kwenye mahusiano kama mpira kwa TV baba anapenda mama hapendi,hujui hilo?
 
Sasa mbona unatoa siri? Aaaghhh! Hufai!
na wakati wa watu kuibiwa wake zao huku wako bize kushangilia mpira bar
umerudi tena lol
kuna wanawake ukiwatafuta wanakwambia subiri kesho ataenda kutazama mpira lol
 
Bishanga, yaani mie moyo unaniruka kila nikifikiria ligi.

Hata ngao ya hisani tumekosa, Drogba hayupo, ooooh nooooo.

Am so worried!
 
Last edited by a moderator:
kuna tafiti zinaonesha
wanaume washabiki wa Arsenal ni 'nice guys'
na wanapenda 'fair'
but wanawake still wana vutiwa na chelsea na man u guys lol

P
mimi liverpool lol

Mkuu apo bwawa la maini tupo ukurasa mmoja lol

Nawaonea huruma arsenal
 
I will kill you.

kila siku nakwambia 'ukibakwa legea'...btw ex wako mtam sana....... phina.............................!!!!!))))))))))))))))/@@:????????((((;;;;;@@@//
 
Last edited by a moderator:
Kaizer we livapulo? Kha uko fungu la kukosa ujue?
Aah siye mbona hatuna makuu kiongozi hatugombei kombe mwaka huu. Huezi kulazimisha meli kubwa ikate kona baharini kama speed boats zinavofanya eo
Mdogo mdogo. Kashshe kwenu nafasi ya tatu hamuipati
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom