Si unajua sukari ya watoto ni nini? Usiwe mvivu wa kufungua zipu ya wallet na ya suruali....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Mkuu asprin kwani wee ukoje mbona wanakung'ang'ania sana
Tatizo viatu vyangu vitamtosha?Mkuu mrushie taulo bhana
Mkuu kwa usawa huu wanisamehe tuu sina namna kazi ngumu ninayoifanya alafu niachie hela ovyo ovyo pate la mbali wacha nikae na ugumu wangu kama kondooSi unajua sukari ya watoto ni nini? Usiwe mvivu wa kufungua zipu ya wallet na ya suruali....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ewaaa... endelea hivyohivyo kuwaita mashemeji. Si wenzio tunauza nyumba tunaweka heshima gesht haush....Mkuu kwa usawa huu wanisamehe tuu sina namna kazi ngumu ninayoifanya alafu niachie hela ovyo ovyo pate la mbali wacha nikae na ugumu wangu kama kondoo
Ku enjoy sio tuu na kufarijiana kimaisha sio kimapenzi no no sijamaanisha hivyo
Anatazamika?Tiffa
We unataka wachawi tu??Hv wale wachawi wa JF wanaitwa akina nani vileee. Me namtaka mmjowapo nitampa mapz mubasharaaaaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Huu ushemeji wa Manfongo sasa.. Wivu lazima aisee!