Kesho ni siku ya wapendanao: Je ungependa kutoka na nani hapa JF?

Mkuu asprin kwani wee ukoje mbona wanakung'ang'ania sana
Si unajua sukari ya watoto ni nini? Usiwe mvivu wa kufungua zipu ya wallet na ya suruali....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mkuu kwa usawa huu wanisamehe tuu sina namna kazi ngumu ninayoifanya alafu niachie hela ovyo ovyo pate la mbali wacha nikae na ugumu wangu kama kondoo
 
Ewaaa... endelea hivyohivyo kuwaita mashemeji. Si wenzio tunauza nyumba tunaweka heshima gesht haush....
 
Ku enjoy sio tuu na kufarijiana kimaisha sio kimapenzi no no sijamaanisha hivyo
IMG-20170214-WA0040.jpeg
 
Back
Top Bottom