Kesho ni siku ya wapendanao: Je ungependa kutoka na nani hapa JF?

Kesho ni siku ya wapendanao: Je ungependa kutoka na nani hapa JF?

Baby, kila nikiiona ID yako najihisi mkosefu kwako mrembo.

But am real real working hard to make sure I do something that you are worth.

Happy Valentine, huwezi amini how I took this serious.


Mmmmmmmh!! The long wait, Until when?
 
Nikuambie kitu?Anzisha thread kabisa.
Nitakuwepo kukukampenia ila usinisahau ktk umalkia wako [emoji39]


Ha ha ha wazo zuri sana My dear, nitaanzaje kukusahau sasa?? mimi nawewe bega kwa bega kama Kikwete na tabasamu
 

Attachments

  • Erick 20170214_120714.jpg
    Erick 20170214_120714.jpg
    15.2 KB · Views: 19
Back
Top Bottom