Kesho ni siku ya wapendanao: Je ungependa kutoka na nani hapa JF?

Kesho ni siku ya wapendanao: Je ungependa kutoka na nani hapa JF?

Hii siku haijakamilika bila kuni mpesa aise[emoji27]
Mpesa si wana-limit amount?
Mzigo naotaka kukudondoshea ni mkubwa! bado inabidi tuonane tu nikukabidhi mkononi!
Au tuma a/c number ss hivi!
 
Mpesa si wana-limit amount?
Mzigo naotaka kukudondoshea ni mkubwa! bado inabidi tuonane tu nikukabidhi mkononi!
Au tuma a/c number ss hivi!
Ayii ukiskia kudanganywa ndo huku sasa. Tuma kabla sijakususia hela zako
 
Back
Top Bottom