Kesho ni Sikukuu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Muungano usioeleweka!

Huu sio muungano, ni utaahira
 
Haueleweki because it wasn't supposed to be kueleweka. Kumbuka sera ya CCM ni serekali mbili kuelekea moja, hivyo serekali ya Tanganyika ilikua sacrificed ili baadae na serekali ya Zanzibar ije kumezwa kutengeneza serekali moja tu, so if u look closely it's not a union but rather a conspiracy to erase one part of union
 
Huu sio muungano, ni utaahira
Huyu mama alikuja akitokea Ndola Zambia. Alikuja kufanya biashara akiwa ameongozana na mumewe.

Mumewe alikuwa mtu machachari sana, akajifunza Kiswahili kwa muda mfupi sana, akifanya biashara ya kuchukua Nazi Tanga na kuzipeleka kwao Zambia.

Biashara yake iliposhamiri akaanza kubeba hiliki na viungo vingine kutoka maeneo ya Tanga na kupeleka Zambia na Zimbabwe
Mafanikio yalipozidi akaanza kudhulumu wenzake na akapoteza Imani kabisa, baadaye hakuonekana wala kujulikana alipo hadi watu wa kutoka Amani Tanga, kwenye misitu ya viungo walipouokota mwili wake akiwa amekufa porini.

Maiti ilibebwa na kupelekwa kwao Zambia. Mazishi yakafanyika na msiba ulipoisha, mama aliingia mzigoni kuwndeleza biashara za marehemu mume wake.

Mwanzoni alisema atarudisha mali zote za dhuluma alizo dhulumu mume wake.

Watu walimpenda sana, akawa mpole, mkarimu na mwenye upendo.

Baada ya muda kwenda, na yeye sasa kawa dhulumati kuliko mumewe, Tena kaongeza na biashara haramu ya mirungi. Kawa katili, sana mkipishana kauli kidogo tu atakuteka, atakutesa na kukuwa kabisa.

Wazee wa Tanga wamechoshwa na watoto wako kuteswa , kutekwa na kuuawa na magenge ya wahuni wa huyu mama.

Wameshakubaliana kumkabidhi kwa maanani asifike mwakani, kwani polisi hawamuwezi, wamemshindwa siku nyingi, wameshindwa hata kuchunguza matukio yanayofanywa na magenge yake.

Wazee wa Tanga wafanyaje zaidi ya kumwachia Mungu?
Credit kwako
 
Toa credits kwa mwandishi.
Kuchukua machapisho ya watu na kuyaleta hapa kama yako bila kutoa credits ni wizi.
Naomba radhi kwa kuweka bandiko bila kumtaja mwenye andiko lake.. Kama umefuatilia hapo juu nilishaulizwa na kujibu kwa sio andiko langu.. Nadhani hii imekaa sawa sasa
 

Muungano fake.
Haueleweki kabisa kwa zaidi ya 100%.

Wazanzibari wanateuliwa kushika Nyadhifa kubwa za kiutendaji kwa upande wa Tanganyika kwenye Wizara ambazo siyo za Muungano.

Mfano Shaka Hamdu Shaka (Mzanzibari) nasikia ni Mkuu wa Wilaya ya Kilosa huko Mkoani Morogoro.
Pia huko huko Mkoani Morogoro Wilaya ya Mlimba kuna Mzanzibari ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo (DED). TAMISEMI siyo Wizara ya Muungano. Je sasa huo ni Muungano gani???
 

Attachments

  • 5705936-c9ced1abef6cc8675dc710574f67603e.mp4
    4.3 MB
Usiishi kwa kuiga,
 
Muungano wa sasa umeshikiliwa na uzi mmoja dhaifu wa siasa
 
Eti siruusiwi kumilik ardhi zanzibar, muungano nikibeba ka Tv kangu wanakata kodi
 
Mzee Mohamed Said na Pascal Mayalla wameshaandika sana labda wapandishe nyuzi
 
Tanganyika haipo nyie kenge, tanganyika iko wapi?..kuna smz na sjmt tu,so mzanzibar anakolifai kushika wadhifa serikali zote mbili waka asiye mzanzibar hakolifai kushika wadhifa smz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…