Kesho ni sikukuu?

Kesho ni sikukuu?

Nadhani Ansari Sunnah kesho sikukuu maana hapa jirani pana msikiti kimewaka hatari
.
 
Ule mwezi uliolipata jua jana si ndio huu huu unaotafutwa ama?
 
Ukiona wale waislam wanaotangulia kula idi ujue siku inayofuata waislam wa bakwata nao wanafanya idi yao. Idi ya bakwata ndiyo inayotambuliwa na serikali na imepewa hadhi ya public holiday
 
Back
Top Bottom