Kesho nimepata mwaliko wa ki VVIP kuhusu uwekezaji Tanzania

Kesho nimepata mwaliko wa ki VVIP kuhusu uwekezaji Tanzania

mshimboka

Member
Joined
Jun 13, 2026
Posts
64
Reaction score
131
Habarini wapendwa natumai wote humu ni wazima na mko poa kabisa wenye afya zilizo imara. Kijana wenu nimekuoja kuwapa habari kuwa nimepata mwaliko mkubwa kujifunza kuhusu uwekezaji.

Kesho itakua siku yangu ya kuanzia safari mpya ya kiuwekezaji baada ya kupata mwaliko kutoka kwa watu wawili wazito kwenye nchi hii akiwepo mkurugenzi mtendaji wa CRDB bank na mwaliko mwingine kutoka mkurugenzi mtendaji wa EMIRATES aluminum ndg deo marandu

Kesho asbh mida ya sa 3 nitakuwepo CRDB headcourt kukutana na mkurugenzi mtendaji wa CRDB bank ndg abdulmajid nsekela kwa niaba ya kupata somo kuhusu uwekezaji na ujasiliamali mkubwa pia nafikilia kuwekeza kwenye hisa kiasi Cha bilioni 2

Baada ya kutoka kuonana na ndg abdulmajid nsekela basi jion mida ya sa 10 nitakuwepo headcourt ya Emirate aluminum kuonana ndg deogratius marandu kuhusu kujifunza kuwekeza pesa na kujifunza ujasiliamali mkubwa na namna ya kuwekeza kwenye viwanda hasa aluminum

Nami natarajia wik2 zijazo kufanya uwekezaji mkubwa katika nchi yangu usiopungua bilioni 5 huku nikiwekeza katika hisa na kufungua workshop yangu kwa ajili ya kutengeneza aluminum

Niwashukuluni wote mlionipa mawazo kwenye Uzi wangu wa kwanza nami mawazo yenu sijayaacha bado nayatafari na nikiona yanafaa basi nitawekeza na huko
 
Kwamba uwekeze eneo ambalo emirates tayari yupo kwa mtaji huo..

Angalia sekta ingine..kama bwana Kadooo umemshirikisha wazo lako na kakukubalia vizuri na bado kakupa mualiko muongee zaidi uko na chance 81% za kuchoma.mtaji

Labda kama amekuita ili mfanye joint venture manuvaa kwenye aluminium..otherwise amekuacha ujikaange.

Angalia upepo unapoelekea
 
Back
Top Bottom