GE2025 Kesho nitatiki, na hizi ndiyo sababu zangu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Zungumzia Utekaji.
Kati ya mambo ya kishetani ambayo chama chetu kimefanya ni huu utekaji na mauaji.
Kitalaaniwa na hakitadumu.
Amina.
 
Kenge
 
Karibu sana! Cask imeuzwa mkuu!
joh mwenye cask kuna kipindi alikua mwanangu sana 2018-2020 urafiki wetu ukaja kufa alikua na kiwanda cha kutengeneza bomba za Maji kama zongyii akauza sijui Joh kimemukuta nini maisha yana kupanda na kushuka
 
Cask ina partners wa3, na si alihamia cask ya dar
 
Mkuu kwa hiyo Samia ni babaako??
 
''One of the penalties of refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors.''-Plato
 
Attachments

  • Screenshot 2025-10-29 125620.png
    211.9 KB · Views: 22
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…