o_2
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 428
- 385
Salaam...
Jana ni ile juzi, leo ni ile jana uliyokuwa unaisubiria ili uamue au ufanye jambo fulani.
Uanze biashara, uache kazi moja kutafuta kazi nyingine, uache fursa moja kukimbilia fursa nyingine, kuchagua njia moja na kuacha ingine. Yale maamuzi ambayo umeamua kuyapa muda. Muda, siku fulani kwamba leo, kesho nitaamua, kesho.
Kesho tena. Kesho tena...mara mwaka umeisha. Mambo yaleyale.
Kesho pia ni siku ni maneno ambayo yameumiza vijana wengi sana. Huenda mimi nikawa mmoja wapo. Kila siku kesho pia ni siku...kwanini usiamue leo leo?
Kesho pia ni siku, ni ule mwaka uliosema huu ndio mwaka wa kuforce...bado miezi miwili ukatike. Oyaaa!!!
Usikate tamaa. Leo ndio siku. Fanya leo.
O_2