Kesho pia ni siku, maneno yanayoumiza Vijana wengi

o_2

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2017
Posts
428
Reaction score
385
Salaam...

Jana ni ile juzi, leo ni ile jana uliyokuwa unaisubiria ili uamue au ufanye jambo fulani.

Uanze biashara, uache kazi moja kutafuta kazi nyingine, uache fursa moja kukimbilia fursa nyingine, kuchagua njia moja na kuacha ingine. Yale maamuzi ambayo umeamua kuyapa muda. Muda, siku fulani kwamba leo, kesho nitaamua, kesho.

Kesho tena. Kesho tena...mara mwaka umeisha. Mambo yaleyale.

Kesho pia ni siku ni maneno ambayo yameumiza vijana wengi sana. Huenda mimi nikawa mmoja wapo. Kila siku kesho pia ni siku...kwanini usiamue leo leo?

Kesho pia ni siku, ni ule mwaka uliosema huu ndio mwaka wa kuforce...bado miezi miwili ukatike. Oyaaa!!!

Usikate tamaa. Leo ndio siku. Fanya leo.

O_2
 
Muhubiri 1 : 1 - 11

Hakuna jipya chini ya jua, Yote ni Yale yale..!

Ubatili mtupu, Ubatili mtupu..Mambo yote ni Ubatili..!
 
Reactions: o_2
Tunajiliwaza maana Maisha ya leo yanaweza kukupa simanzi hivyo kesho nayo Ni siku ya kuanza upya
Kesho Yangu Ni Bora kuliko leo
 
Vijana wengi tunafeli sababu n hii me kila siku nasema niende chuo ila najikatisha tamaa
 
Reactions: o_2
Tunajiliwaza maana Maisha ya leo yanaweza kukupa simanzi hivyo kesho nayo Ni siku ya kuanza upya
Kesho Yangu Ni Bora kuliko leo
Man in the mission 💪🏿
 
Muhubiri 1 : 1 - 11

Hakuna jipya chini ya jua, Yote ni Yale yale..!

Ubatili mtupu, Ubatili mtupu..Mambo yote ni Ubatili..!
Muhubiri aliona maisha hayana maana.

Sasa this is not 3000 BC. This is 2024 AD 21st century. Survival of the fittest...ukilegea umeliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…