Kesho sili nyama

Kesho sili nyama

mbona pasaka hua tunawakaribisha na wanakuja kula nyama,au ni vile mimi sijui vizuri maana ya pasaka!?
 
Nimeshasaga nyama kesho ni mwendo Kwa kukaanga sambusa za nyama.
Pilau nyama nimeshakula Leo.
 
Sili tu kwa kesho kwasababu wengine wanakula.

adriz
basi utajiepusha na kula nyama za mabalaa zinazochinjwa kwa makafara. Ndio maana kumekuwa na watu wenye kufanya maamuzi ya ajabu kuigharimu nchi. Tuombe Mungu nchi isipate mabalaa yatakayosababishwa na makafara haya ya kuchinja mifugo kwa kisingizio cha ibada ya kuchinja
 
Mkaidi hafaidi hadi siku ya idi .
Mkristo yeye huwa ana faidi kila siku .
 
Back
Top Bottom