Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Huo ndio ukweliMimi sio shabiki wa mpira Ila nimeamua kufanya utabiri
Simba anashinda kesho nimeona hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndio ukweliMimi sio shabiki wa mpira Ila nimeamua kufanya utabiri
Simba anashinda kesho nimeona hivyo
Kumbe hata Mshana ni mwongo. SImba hafurukiti mbele ya Yanga: Kesho ni 5-1. Tena watapata moja hilo kwa penalty ya kupewa na Pilato Kayoko.Huo ndio ukweli
Haya sasa kiko wapi?Mimi sio shabiki wa mpira Ila nimeamua kufanya utabiri
Simba anashinda kesho nimeona hivyo
Mtabiri uchwara!Muda huu ni 14: 01 PM
Here we go !
Tukutane After Match
Simba anashinda Ila ambacho sijajua anashinda ngani
Wingu alioneshi idadi ya magoli