KESHO TAREHE 27 GENERATION Z WANATIMIZA TAKWA MOJA LILILOBAKI!.

passion_amo1

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2023
Posts
1,828
Reaction score
3,922
Wakuu Heshima mbele!

Nilisoma yale ambayo Generation Z waliyasema na yote wameyatekeleza kwa asilimia 100%.

Kesho 27/06 Waandamanaji wamesema watafunga njia kuu ya kuelekea nairobi na kuiteka ikulu kushuhudia ruto akisaini ili kuwafanya kuwa watumwa katika nchi yao.

Na uzingatie vijana hawa yote waliyoyasema wameyafanya yote.
 
Attachments

  • AB990374-369E-4BFB-A771-D63C5B8ECF95.jpeg
    AB990374-369E-4BFB-A771-D63C5B8ECF95.jpeg
    334.2 KB · Views: 2
Tanzania unafiki ndio unatucost,nimepita maeneo ya mjini huku Arusha nimekuta maduka yamefungwa ila wale wanafiki wamefungua,halafu unamuuliza mtu kwanini nyie mmefungua anasema tena kwa majigambo eti mimi hayo hanihusu,si uchoko huo?
 
Kwanza kunywa maji, mbili kwa nini unamuuliza mtu biashara yake sababu ya kufungua! Wewe ukifunga yako inatosha. Mbona huku Dar maeneo mengi tu maduka yako wazi.
 
Wakuu Heshima mbele!

Nilisoma yale ambayo Generation Z waliyasema na yote wameyatekeleza kwa asilimia 100%.

Kesho 27/06 Waandamanaji wamesema watafunga njia kuu ya kuelekea nairobi na kuiteka ikulu kushuhudia ruto akisaini ili kuwafanya kuwa watumwa katika nchi yao.

Na uzingatie vijana hawa yote waliyoyasema wameyafanya yote.
Zamani humu jf tulikua tunasema UPUMBAVU HAUNA UJAZO

SIO RAHISI KIHIVYO
 
Back
Top Bottom