Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
CC Lucas MwashambwaTanzania unafiki ndio unatucost,nimepita maeneo ya mjini huku Arusha nimekuta maduka yamefungwa ila wale wanafiki wamefungua,halafu unamuuliza mtu kwanini nyie mmefungua anasema tena kwa majigambo eti mimi hayo hanihusu,si uchoko huo?