passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Ruto kichwa kinawaka moto muda huuWenzetu wakenya wanapambana sana
Exactly 💯Ruto kichwa kinawaka moto muda huu
JasmoniGenzie huko Kenya wameamua kuvuruga miundombinu na hali ya amani ili kuvuta usikuvu wa mamlaka.
Sahihi. Nafikiri kuna wengine wanatumia hii kamq fursa.Hao Leaders wa Gen Z wawaambiea Waandamanaji wajizuie kuharibu Property na wakimuona mwenzao anaiba wamkabidhi kwa Polisi.
Jana nilikuwa naona Vijana kutoka Mathare wakimpora jamaa wa Bodaboda.Sahihi. Nafikiri kuna wengine wanatumia hii kamq fursa.
Wameshaharibu, walianza kwa amani ila kufikia kuharibu mali na kuchoma moto majengo hizo ni vuruguHao Leaders wa Gen Z wawaambiea Waandamanaji wajizuie kuharibu Property na wakimuona mwenzao anaiba wamkabidhi kwa Polisi.
Kwanza kunywa maji, mbili kwa nini unamuuliza mtu biashara yake sababu ya kufungua! Wewe ukifunga yako inatosha. Mbona huku Dar maeneo mengi tu maduka yako wazi.Tanzania unafiki ndio unatucost,nimepita maeneo ya mjini huku Arusha nimekuta maduka yamefungwa ila wale wanafiki wamefungua,halafu unamuuliza mtu kwanini nyie mmefungua anasema tena kwa majigambo eti mimi hayo hanihusu,si uchoko huo?
Zamani humu jf tulikua tunasema UPUMBAVU HAUNA UJAZOWakuu Heshima mbele!
Nilisoma yale ambayo Generation Z waliyasema na yote wameyatekeleza kwa asilimia 100%.
Kesho 27/06 Waandamanaji wamesema watafunga njia kuu ya kuelekea nairobi na kuiteka ikulu kushuhudia ruto akisaini ili kuwafanya kuwa watumwa katika nchi yao.
Na uzingatie vijana hawa yote waliyoyasema wameyafanya yote.