Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Jun 26, 2024 #21 atlas copco said: Tanzania unafiki ndio unatucost,nimepita maeneo ya mjini huku Arusha nimekuta maduka yamefungwa ila wale wanafiki wamefungua,halafu unamuuliza mtu kwanini nyie mmefungua anasema tena kwa majigambo eti mimi hayo hanihusu,si uchoko huo? Click to expand... CC Lucas Mwashambwa
atlas copco said: Tanzania unafiki ndio unatucost,nimepita maeneo ya mjini huku Arusha nimekuta maduka yamefungwa ila wale wanafiki wamefungua,halafu unamuuliza mtu kwanini nyie mmefungua anasema tena kwa majigambo eti mimi hayo hanihusu,si uchoko huo? Click to expand... CC Lucas Mwashambwa