Kesho TFF kumtangaza Mdhamini wa ligi kuu 2021/2022

Kesho TFF kumtangaza Mdhamini wa ligi kuu 2021/2022

Lolote Lawezekana Ili Yanga Iwe Bingwa Asubuhi
Wa ligi gani na akishinda impact yake kama muwakilishi wa nchi itakuwaje?

Nafasi nne anaendelea kuzipambania yuleyule aliyewabeba
 
Kama ni yeye sijui ndio itaitwa Azam premier league(APL)
Azam hawezi kuwa mdhamini ,sheria hairuhusu mdhamini awe na timu ligi kuu, haiwezekani uwe na timu ligi kuu haalafu ukawa mdhamini wa ligi
 
Vyovyote iwavyo sisi WANANCHI hatutavaa nembo yenye rangi nyekundu.
FB_IMG_1633460537401.jpg
 
vzuri TFF ,vilabu navyo visijibweteke.. vitafute wadhamini w maan wwasaidie kuboresha at viwanja wanavy chezea il tuon soka safi.
 
Benki kama NMB ama CRDB kwa ukubwa wao na utengenezaji faida sijui kwa nin hawajaiona hii fursa.

Kwanza timu zimekuwa chache.

Ligi imekuwa na mvuto mkubwa sana kwa kuzipa biashara zao matangazo ya maana.

Hata kama sio full sponsorship, wangeweka hata kwenye zawadi tu.
 
Back
Top Bottom