Kesho (Tomorrow) and jana( yesterday) havipo, unavitengeneza tu kwenye akili yako

Kesho (Tomorrow) and jana( yesterday) havipo, unavitengeneza tu kwenye akili yako

confusion

Member
Joined
Jan 10, 2026
Posts
14
Reaction score
13
Habari wanajf,

kila siku huwa na sema hapa jf.
Na leo nitasema kwa mara ya mwisho "ishi sasa (Now) hayo mambo ya kesho ,yatajipambania yenyewe".

Matatizo ,maumivu ,na shida zote sio za lazima(unnecessary).
Ni kwa sababu hukubaliani na wakati wa sasa (now),kwa sababu wakati wa sasa(now) mara nyingi unakuwa tofauti na matarajio yetu.
kwahiyo ndio inatengeneza Haya matatizo ,maumivu na shida.
Shida ,maumivu na matatizo zipo kwenye kesho na jana .

Kwenye sasa(now ) hakuna tatizo wala shida yeyote(unapumua na kuvuta pumzi tu ).

Ishi sasa ,acha kuamini kwenye kesho na jana ambazo hazitafika.

"Present moment is all you ever have .There is never a time when your life is not "this moment".

Just breath.

Stop believing in endless tommorow.
 
Tunaishi leo kwa matokeo ya jana,na tunachokifanya leo tunajitengenezea hifadhi ya kesho na ikitokea kesho usiwepo vile ulivyoviacha vitatumiwa na watoto wako,ndugu zako na utabaki mioyoni mwao daima.. Usiwe mzembe kwa kigezo cha kuiishi leo,pigana mwanawane kwa ajili ya kesho yako au wengine utakaojaaliwa kuifikia.
 
Hata umri ni namba tu, miaka ipo ipo tu, si chochote si lolote, maisha ni sasa
 
Back
Top Bottom