Kesho tusifunge ila kuswali iwe Jumamosi. Ni haramu kufunga siku ya Iddi

Kesho tusifunge ila kuswali iwe Jumamosi. Ni haramu kufunga siku ya Iddi

Rwetembula Hassan Jumah

Senior Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
140
Reaction score
188
Waislamu wengi kesho watafungua ila kuswali mpaka Jumamosi. Kesho ni Eid ya kwanza halali kabisa.

Kenya, Rwanda na Uganda, eid kesho halafu eti Tanzania ni Jumamosi.
 
Waislamu wengi kesho watafungua ila kuswali mpaka jumamosi....
kesho ni Eid ya kwanza idd halali kabisa
Kenya,Rwanda na Uganda eid kesho Tanzania Jumamosi.
kesho funga inaendelea kwa waislam wengi, wachache ndio watasherehekea iddi yao kesho. Unasemaje wanaosali kesho ni wengi wakati hata press release haijatolewa?
 
Kufunga Kwaresma ama Ramadhani ni dhambi kwa Mwafrika hata Mungu anatushangaa, tunaacha asili zetu eti tunakwenda kushadadia dini na mila za watu wengine kama si ujinga ni kitu gani?
 
Kufunga Kwaresma ama Ramadhani ni dhambi kwa Mwafrika hata Mungu anatushangaa, tunaacha asili zetu eti tunakwenda kushadadia dini na mila za watu wengine kama si ujinga ni kitu gani?
Hizo ni Imani za watu na hakuna anaelazimishwa
 
Waislamu wengi kesho watafungua ila kuswali mpaka Jumamosi. Kesho ni Eid ya kwanza halali kabisa.

Kenya, Rwanda na Uganda, eid kesho halafu eti Tanzania ni Jumamosi.

Huko Kenya, Rwanda na Uganda, eid kesho sababu wameuona mwezi
Wewe umeuona??
 
Back
Top Bottom