Rwetembula Hassan Jumah
Senior Member
- Jan 25, 2023
- 140
- 188
kesho funga inaendelea kwa waislam wengi, wachache ndio watasherehekea iddi yao kesho. Unasemaje wanaosali kesho ni wengi wakati hata press release haijatolewa?Waislamu wengi kesho watafungua ila kuswali mpaka jumamosi....
kesho ni Eid ya kwanza idd halali kabisa
Kenya,Rwanda na Uganda eid kesho Tanzania Jumamosi.
Tanzania si mko na Mwezi wenu pamoja Qur'an yenu sibishikesho funga inaendelea kwa waislam wengi, wachache ndio watasherehekea iddi yao kesho. Unasemaje wanaosali kesho ni wengi wakati hata press release haijatolewa?
Hizo ni Imani za watu na hakuna anaelazimishwaKufunga Kwaresma ama Ramadhani ni dhambi kwa Mwafrika hata Mungu anatushangaa, tunaacha asili zetu eti tunakwenda kushadadia dini na mila za watu wengine kama si ujinga ni kitu gani?
We huna Huwezo wa kufunga usilte visingizo.Kufunga Kwaresma ama Ramadhani ni dhambi kwa Mwafrika hata Mungu anatushangaa, tunaacha asili zetu eti tunakwenda kushadadia dini na mila za watu wengine kama si ujinga ni kitu gani?
Waislamu wengi kesho watafungua ila kuswali mpaka Jumamosi. Kesho ni Eid ya kwanza halali kabisa.
Kenya, Rwanda na Uganda, eid kesho halafu eti Tanzania ni Jumamosi.
Wew ulifunga kwa kuona mwezi? Na hadith inasemaje?Huko Kenya, Rwanda na Uganda, eid kesho sababu wameuona mwezi
Wewe umeuona??
Hakikani mwendawazimu tu ambae anaendelea kuwaamini, kuwasikiliza na kuwafata Bakwata.
Sisi leo ni Eid hapa Dar es Salaam.
Uwezo wa kufunga ninao ila sitaki kwa makusudi kufuata mila na dini za wengineWe huna Huwezo wa kufunga usilte visingizo.