Tuache unafiki.
Mimi ni Shabiki wa Simba SC.
Mafanikio ya Young African hayawahusu Simba SC na Mafanikio ya Simba SC hayawahusu Young African.
Timu pekee inayo wakilisha Taifa ni timu ya Taifa tu.
Simba Sc na Young African wana jiwakilisha wenyewe tu. ( Hakuna uzalendo hapo).
Simba SC hatuna jipya labda msimu ujao, ila Young African wa jipya na wanaendelea kutafuta mapya zaidi kwa maslahi yao nasiyo kwa maslahi ya watanzania wote.....
ila ukweli ni kwamba YOUNG AFRICAN haiwakilishi Taifa wala mkoa , inajiwakilisha yenyewe.