Kesho tuungane kuleta heshima nchini

Kama mwanachama wa Simba tawi la mpira pesa nitaungana na Yanga kuleta heshima nchi hii.

Wanalunyasi wenzangu tuungane pamoja katika hili. Tuweke historia kubwa kuleta kombe hili nchini mwetu

Simba
Nguvu moja
Nani asiyekujua ww Ni zuzu/ utopolo?
 
Kama mwanachama wa Simba tawi la mpira pesa nitaungana na Yanga kuleta heshima nchi hii.

Wanalunyasi wenzangu tuungane pamoja katika hili. Tuweke historia kubwa kuleta kombe hili nchini mwetu

Simba
Nguvu moja
Sasa kama fainali yenyewe hujui inapigwa lini unawezaje kutushawishi tuishangilie Yanga?
 
Kama mwanachama wa Simba tawi la mpira pesa nitaungana na Yanga kuleta heshima nchi hii.

Wanalunyasi wenzangu tuungane pamoja katika hili. Tuweke historia kubwa kuleta kombe hili nchini mwetu

Simba
Nguvu moja
We jamaa wa NYUMA MWIKO
 
Tuache unafiki.

Mimi ni Shabiki wa Simba SC.

Mafanikio ya Young African hayawahusu Simba SC na Mafanikio ya Simba SC hayawahusu Young African.

Timu pekee inayo wakilisha Taifa ni timu ya Taifa tu.

Simba Sc na Young African wana jiwakilisha wenyewe tu. ( Hakuna uzalendo hapo).

Simba SC hatuna jipya labda msimu ujao, ila Young African wa jipya na wanaendelea kutafuta mapya zaidi kwa maslahi yao nasiyo kwa maslahi ya watanzania wote.....
ila ukweli ni kwamba YOUNG AFRICAN haiwakilishi Taifa wala mkoa , inajiwakilisha yenyewe.
 
Kama mwanachama wa Simba tawi la mpira pesa nitaungana na Yanga kuleta heshima nchi hii.

Wanalunyasi wenzangu tuungane pamoja katika hili. Tuweke historia kubwa kuleta kombe hili nchini mwetu

Simba
Nguvu moja
Binafsi nawatakia heri washinde ila hawa sindio walikuwa wanapokea wageni airport na kuwashangilia na kununua jezi zao wamekiri lini dhambi ile?
 
Yanga ni timu ya kwetu Tanzania [emoji1241] hivyo tufanye hima kupenda vyetu vifanikiwe ili kuleta sifa nchini
 
WAPAMBANE NA HALI ZAO..timu ya taifa tunaijua.wakishinda huo ni ushindi wao.wakipigwa ni maumivu yao.walikuwa wanakwenda airport kupokea wageni.alaf leo unaniambia niwe mzalendo.bora nisiwe mzalendo
 
Yanga ni timu ya kwetu Tanzania [emoji1241] hivyo tufanye hima kupenda vyetu vifanikiwe ili kuleta sifa nchini
Ya kwenu na nani...?

Young African ni Timu ya wana Young African, Tanzania tuna timu yetu ya mpira inaitwa Timu ya Taifa ( Taifa stars). Na ndiyo huwa inawakiliaha Taifa.

Hiyo Young African ni ya GSM na wana Young African wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…