Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fblukuwi said:MUHAS postgraduate wengine hadi leo hawajapewa hilo bu na watu wanaishi kwa mashaka sana!Wanasubiri nini? Sasa haki haipatikani mpaka itafutwe. Waingie mtaani tu!
leo saa nne tamko rasmi litatoka. Hoja ni nyingi. Mojawapo bumu. Nitaendelea kuwaupdate!
hili bumu mbona kero kila mahali? Inaonesha jk alitafuna hazina yote kwenye kampeni! Manake muhas postgraduate wengine hadi leo hawajapewa hilo bu na watu wanaishi kwa mashaka sana!
Fblukuwi said:Wanasubiri nini? Sasa haki haipatikani mpaka itafutwe. Waingie mtaani tu!
Katika hali ya kusikitisha na kusononesha chuo kikongwa hapa nchini UDSM wanafunzi wake wanaendelea kuishi katika maisha magumu hii ni kutokana na serikali kuu na serikali yao DARUSO kutowajali wanafunzi wake. DARUSO imekaa kimya muda wote huku wanafunzi wakiangaika wenyewe na maisha magumu. Chuo hiki kina wanafunzi kama 19000 lakini mpaka sasa waliopewa mkopo ni 4138 22% ya wanafunzi wote.
Hii sio haki hata kidogo serikali ya KIkwete inatengeneza BOMU ambalo litakuja kuripuka soon.
Serikali inaongeza nguvu zake UDOM na kuiacha UDSM ikichakaa. Hii inaongeza chuki kwa Serikali ya kikwete kwa wasomi hawa.
Juzi nilikuwa chuo nikakutana na wadada kama watano wakasema wameenda LOAN BOARD kuulizia mikopo maana tokea waapply mwezi wa saba hawajapata mikopo, nikawauliza kwani loan board wamewaambiaje? eti wameambiwa kuwa waandike barua kwanin wapewe mikopo?
Source:Tanzania HESLB Website